Mtazamo kwani kuna mtu anauhakika ni swala la possibility mpira now days umebadilika sana mkuuYaani kitu ni utabiri halafu unaufanyia conclusion! Ila wacheza mpira wa Jamii forum mna vichekesho
Wako sahihi Sana Jamaa anazingua mno yaan sijui anawazaga nini akiwa uwanjani?FK21 soma hapo chini Raphinha analalamika mashabiki wa Brazil hawamuheshimu Neymar wala hawajastuka kutokuwepo kikosini. View attachment 2428810
Utoto na ubitoz wa Neymar uwanjani ndio umesababisha vyote ndio maana mashabiki wanaona bora asiwepo maana kuna watu wanauchungu na world cup hawajawahi kucheza maisha mwao yote.
Baada ya Qatar, kesho Germany nae anafungasha virago. Hamna namna hawa wafanya siasa kwenye world cup watamfunga Spain. Wakishinda niiteni Kigwangala nipo pale nimekaa
Mimi jana game yao niliicheza Australia wins plain kabisa. Tunisia ni Taifa stars iliyochangamka.Waarabu wa Tunisia wametuharibia siku. Daahh, Afrika matumaini yabakie kwa Senegal tu
Hata mimi nimekudharau kwa kupofushwa na mapenzi na Messe kipenzi chako cha moyo. Yeye ni nani asifananishwe na na kwa taarifa yako rekodi zote za Messi zitavunjwa tu soon na vijana wa kizazi kipya hao wanakuja motoNimekudharau sana kumfananisha messi na uyo kijana kwasababu ya magoli ya kombe dunia
Tatizo la Argentina Ni team work, wanamtegemea Sana Messi yaani akiwa chini ya kiwango au akikabika vyema bas team nzima imefeli.
Sijui kwann Dyabala hachezi maana yy, Di Maria pamoja Na Yule Dogo aliyefunga Goli la pili Wana amsha amsha Sana kwa wapinzani ningependa mechi ijayo waanze pamoja hao watu wa4.
Gemu ya argentina na poland
ikiwa sare
Saudia akamgonga mexico
Hamuoni safari ya huyo mesi imeishia hapo
Kwa iyo mesi asali sana au amuombe mexico ashinde au adraw
Tatizo la Argentina Ni team work, wanamtegemea Sana Messi yaani akiwa chini ya kiwango au akikabika vyema bas team nzima imefeli.
Sijui kwann Dyabala hachezi maana yy, Di Maria pamoja Na Yule Dogo aliyefunga Goli la pili Wana amsha amsha Sana kwa wapinzani ningependa mechi ijayo waanze pamoja hao watu wa4.
TAKUMA hajaanzaFirst 11 ya Japan [emoji557] hii hapa game inaanza saa 7 mchana huu!View attachment 2428897
Ujeruman timu yangu Ila mnazingua aiseeUjerumani imesema haitaacha kuziba midomo yao na kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya hispania wataziba tena, ikiwa ni kiashiria cha kunyimwa uhuru wao kutetea mashoga, wasagaji na wakoboaji. Wameomba watu wote wawaunge mkono kwa kuziba mdomo na kuwashangalia.View attachment 2428903
Au tumrudishe Adolf Hitler aisee hawa ujeruman wamekuajeUjerumani imesema haitaacha kuziba midomo yao na kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya hispania wataziba tena, ikiwa ni kiashiria cha kunyimwa uhuru wao kutetea mashoga, wasagaji na wakoboaji. Wameomba watu wote wawaunge mkono kwa kuziba mdomo na kuwashangalia.View attachment 2428903
Hata mimi nimekudharau kwa kupofushwa na mapenzi na Messe kipenzi chako cha moyo. Yeye ni nani asifananishwe na na kwa taarifa yako rekodi zote za Messi zitavunjwa tu soon na vijana wa kizazi kipya hao wanakuja moto
Watasaidiana na Haaland na wengine are comming soonMbappe mpaka sasa hana UEFA, ballon D or, Euro Ila ana WC. Hizo rekodi za Messi na Ronaldo Dogo apambane Atavunja baadhi Ila sio zote
Hapana Takuma Asano yupo benchi yule huwa ni super subTAKUMA hajaanza