Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hazard kawachana Wajerumani , wa kubwa wa hovyo.
IMG_20221127_105439.jpg
 
FK21 soma hapo chini Raphinha analalamika mashabiki wa Brazil hawamuheshimu Neymar wala hawajastuka kutokuwepo kikosini. View attachment 2428810

Utoto na ubitoz wa Neymar uwanjani ndio umesababisha vyote ndio maana mashabiki wanaona bora asiwepo maana kuna watu wanauchungu na world cup hawajawahi kucheza maisha mwao yote.
Wako sahihi Sana Jamaa anazingua mno yaan sijui anawazaga nini akiwa uwanjani?
 
Naunga mkono hoja mwanawane BUSH BIN LADEN hao machoko wa kijerumani kesho wanarudi kwao wakaendeleze uchoko. Sio Germany machine ile. Twende na Spain knockout stage.
Baada ya Qatar, kesho Germany nae anafungasha virago. Hamna namna hawa wafanya siasa kwenye world cup watamfunga Spain. Wakishinda niiteni Kigwangala nipo pale nimekaa
 
Tatizo la Argentina Ni team work, wanamtegemea Sana Messi yaani akiwa chini ya kiwango au akikabika vyema bas team nzima imefeli.

Sijui kwann Dyabala hachezi maana yy, Di Maria pamoja Na Yule Dogo aliyefunga Goli la pili Wana amsha amsha Sana kwa wapinzani ningependa mechi ijayo waanze pamoja hao watu wa4.
 
Nimekudharau sana kumfananisha messi na uyo kijana kwasababu ya magoli ya kombe dunia
Hata mimi nimekudharau kwa kupofushwa na mapenzi na Messe kipenzi chako cha moyo. Yeye ni nani asifananishwe na na kwa taarifa yako rekodi zote za Messi zitavunjwa tu soon na vijana wa kizazi kipya hao wanakuja moto
 
Majeruhi
Tatizo la Argentina Ni team work, wanamtegemea Sana Messi yaani akiwa chini ya kiwango au akikabika vyema bas team nzima imefeli.

Sijui kwann Dyabala hachezi maana yy, Di Maria pamoja Na Yule Dogo aliyefunga Goli la pili Wana amsha amsha Sana kwa wapinzani ningependa mechi ijayo waanze pamoja hao watu wa4.
 
Gemu ya argentina na poland
ikiwa sare

Saudia akamgonga mexico

Hamuoni safari ya huyo mesi imeishia hapo

Kwa iyo mesi asali sana au amuombe mexico ashinde au adraw

Saudia amfunge Mexico?? Acheni ndoto aseee! Saudia Alitakiwa apate matokeo kwa Poland kwa Mexico hawezi kushinda.

Mechi ngumu kwa Argentina ilikua ni ya Mexico, Poland hana uwezo wa kumfunga Argentina labda itoke bht Kama ya wa Saudia.
 
Tatizo la Argentina Ni team work, wanamtegemea Sana Messi yaani akiwa chini ya kiwango au akikabika vyema bas team nzima imefeli.

Sijui kwann Dyabala hachezi maana yy, Di Maria pamoja Na Yule Dogo aliyefunga Goli la pili Wana amsha amsha Sana kwa wapinzani ningependa mechi ijayo waanze pamoja hao watu wa4.

Enzo Ferninandez Uyo Dogo ni mzuri sana anakipiga Benfica nafikiri next match ataanza. Pia watu wana msahau Martinez Uyo Dogo beki wa Man utd Dogo jana amekaza sana. Beki line yao jana ukitulia sana.
 
Ujerumani imesema haitaacha kuziba midomo yao na kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya hispania wataziba tena, ikiwa ni kiashiria cha kunyimwa uhuru wao kutetea mashoga, wasagaji na wakoboaji. Wameomba watu wote wawaunge mkono kwa kuziba mdomo na kuwashangalia.View attachment 2428903
Ujeruman timu yangu Ila mnazingua aisee
 
Ujerumani imesema haitaacha kuziba midomo yao na kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya hispania wataziba tena, ikiwa ni kiashiria cha kunyimwa uhuru wao kutetea mashoga, wasagaji na wakoboaji. Wameomba watu wote wawaunge mkono kwa kuziba mdomo na kuwashangalia.View attachment 2428903
Au tumrudishe Adolf Hitler aisee hawa ujeruman wamekuaje
 
Hata mimi nimekudharau kwa kupofushwa na mapenzi na Messe kipenzi chako cha moyo. Yeye ni nani asifananishwe na na kwa taarifa yako rekodi zote za Messi zitavunjwa tu soon na vijana wa kizazi kipya hao wanakuja moto

Mbappe mpaka sasa hana UEFA, ballon D or, Euro Ila ana WC. Hizo rekodi za Messi na Ronaldo Dogo apambane Atavunja baadhi Ila sio zote
 
Watasaidiana na Haaland na wengine are comming soon
 
Back
Top Bottom