Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

MORROCO
IMG_20221127_175304.jpg
 
Hawa waarabu hatari....kweli kocha wakushinda champions league kaonyesha ubora wake on the world stage
Wachezaji wa Morocco wote hucheza mpira wa kulipya nje ya nchi, kwahiyo taifa star kama malengo ya kushiriki kombe la taifa tunao tuanze na kupeleka wachezaji wetu nje, soma la simba na Yanga halitupeleke popote
 
Morocco Tunaongoza Kundi Sasa, Waafrika safiiiiiii???

Najua waafrika Wengi hawawapendi Morocco na Tunisia ila Geographia Inatubanaa [emoji3][emoji3]

Waafrika wengi wetu wabaguzi sana, hapa nilipo sisikii wakishabikia, ingelikua cameroon au ghana kelele zingesikika,

Acha wanune, morocco is the best team kwa sasa, tupo nyuma yao kuwasapoti.
 
Back
Top Bottom