Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AssistZiyeeeeeeeeech
Dah African team afuzu hata Moja baasiMorroco 2
Ulimpa morocco40,000 mfukoni faida
Uhakika uyo man game ya mwisho ana maliza na CanadaDah African team afuzu hata Moja baasi
Hamna kitu kabisaBeligium takatakaaa kabisa
Wachezaji wa Morocco wote hucheza mpira wa kulipya nje ya nchi, kwahiyo taifa star kama malengo ya kushiriki kombe la taifa tunao tuanze na kupeleka wachezaji wetu nje, soma la simba na Yanga halitupeleke popoteHawa waarabu hatari....kweli kocha wakushinda champions league kaonyesha ubora wake on the world stage
Morocco Tunaongoza Kundi Sasa, Waafrika safiiiiiii???
Najua waafrika Wengi hawawapendi Morocco na Tunisia ila Geographia Inatubanaa [emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Beligium takatakaaa kabisa