The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Amin na iwe hivyo.Raundi ya pili tunaingiza Morroco, Ghana, Senegal
Belgium zama za wachezaji hawa zimeshapita. Ilikuwa ni worldcup iliyopita. Sasa wameshapita ''pick'' ya uchezaji wao na watazidi kuporomoka. Kina Hazard, Vertonghen, Lukaku wote siku zao za kuwa juu zimepita. Inabidi waanze tena na kizazi kingineHawa Belgium wakileta mzaha ili kundi watabaki waende nymbn mapema.
Niliweka mechi itoe goli 2 odd ya 1.42Ulimpa morocco
Canada tuMechi ijayo Morocco na nani
Kubet ni kubaya maana ni addictive.
CroatiaMechi ijayo Morocco na nani
CanadaMechi ijayo Morocco na nani
Basi Canada Leo apigwe tuCanada tu
Tackle nalo ni kiungo likizid ni offside hamna mjadala[emoji1787]Kuwa serious basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haiko hivyoCroatia vs Canada wakidroo basi Morocco anakua kapita.
YaahHaiko hivyo
Hilo kundi, wakitoa draw Canada ataweza songa akimfunga Moroco
Yani hii mechi naisubiri kwa hamuUjerumani akipigwa si anatoka?
Crotia walishacheza wakasare bila bilaCroatia
ogopa kama ukoma hii mambo rafiki
Wee bwana hapa tanzania kwenda world cup mpaka yesu arudi na dunia izaliwe upya. Kwa mikakati gani tuliyokuwa nayo? Vijeva vya u20 ndio ukashindane ulimwenhuni huko. Tuache utani.Wachezaji wa Morocco wote hucheza mpira wa kulipya nje ya nchi, kwahiyo taifa star kama malengo ya kushiriki kombe la taifa tunao tuanze na kupeleka wachezaji wetu nje, soma la simba na Yanga halitupeleke popote
So,Moroco kisha pita?Haiko hivyo
Hilo kundi, wakitoa draw Canada ataweza songa akimfunga Moroco
OkCrotia walishacheza wakasare bila bila