Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

@world cup ijayo navyosikia timu zitakuwa 48 na makundi yatakuwa na timu 3 atakae ongoza kundi ndio anaenda hatua inayo fuata
 
Hata Afrika ikipewa timu 10 Tz haitaenda
Kipindi cha Maximo tulifuzu makundi ya Kugombania, na tukawa wa 3 point 1 nyuma ya Cape verde wa pili, Cameroon alifuzu kundi letu, Enzi zile watangazaji wetu wanajidai Ngasa ni bora kuliko Etoo. Kuna bahati ya kundi unalopewa, timu kali zinaweza kupewa kundi moja na Timu ndogo zikawa na mkubwa ambae hatishi sana.
 
Ila Croatia 🇭🇷 kama wamezidiwa sana na canada
 
Umenikumbusha hicho kipindi , sema some how tulikuwa bora
 
Yaani gambling Mimi huwa hainiendeshi.
Huwa nacheza tatu mzuka mara Moja Moja.
Kiwango Cha mwisho kucheza ni elfu 2 tu..Bila kujali narudisha Hela yangu au hapana.
Haya mechi hiyo hapo kama wajiamini wape goli zipatikane 3
Odds ni 1.7

Mi nimeweka faida itakuja 36,000
Hasara itakuja 64,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…