mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,266
Unazungumzia strait of giblatarMoroco kinachowabeba wako karibu sana na ulaya. Unaambiwa kuna maeneo Moroco ukipanda juu ya mti unaiona baadhi ya mitaa Spain na Ureno
Pale wanasema ukiweza kuogelea tu inafika ulaya hapo