Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Haya mechi hiyo hapo kama wajiamini wape goli zipatikane 3
Odds ni 1.7

Mi nimeweka faida itakuja 36,000
Hasara itakuja 64,000
Nipe site ya kubeti sasa
Maana hata sijui hizo sijui m-bet sijui Moja bet.

Nabeti kuanzia kesho.
 
Kipindi cha Maximo tulifuzu makundi ya Kugombania, na tukawa wa 3 point 1 nyuma ya Cape verde wa pili, Cameroon alifuzu kundi letu, Enzi zile watangazaji wetu wanajidai Ngasa ni bora kuliko Etoo. Kuna bahati ya kundi unalopewa, timu kali zinaweza kupewa kundi moja na Timu ndogo zikawa na mkubwa ambae hatishi sana.
Haya mambo yakusema bahati ya makundi wakati unataka kwenda kupambana huko duniani ni dalili tosha za kuonyesha kuwa bado haupo sawa kucheza world cup. Wee unatakiwa uweze kuwaburuza huku africa kwanza ndio ukatambe ulimwenguni huko.

Sasa ona kwa mfano hapa tz u20 u 17 u23 zote zimeshindwa kufuzu afcon tena basi qualification u acheza na wa zone yako ukiondia tuu hao u23 walicheza na nigeria. Kweli hapo unakuwa na ideas za kucheza kombe la dunia sii ndoto tuu hizo.
 
Umenikumbusha hicho kipindi , sema some how tulikuwa bora
Nilikuwa napitia hapa viwango

Tulimfunga New Zealand mechi ya kirafiki wakati wanaenda kushiriki kombe la dunia.

Ki Africa ukiangalia msimamo hatukuwa mbali na South Africa na Senegal, tulikuwa vizuri, hata Kina Ivory Coast, Nigeria na Cameroon walivyokuja tulikuwa tunakaza as if tunalingana viwango.
 
Kiukweli kipindi hicho tulikuwa seriously sijui kitu gani kiliingia hapo kati , tungeluendelea na ule moto tungekuwa mbali sana , vizazi hico bhasi tu havijaacha warithi wa kweli
 
Back
Top Bottom