Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Si viongozi uchwara wakadanganyika baada ya hiyo kauliNa uraia tukamsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si viongozi uchwara wakadanganyika baada ya hiyo kauliNa uraia tukamsaidia
Changamoto
Mm nikipata muda nachungulia kwa simu kupitia hesgoal.comMimi game za saa 1 na 4 usiku ndo huwa sizikosi, zile za saa 7 mara nyingi nakuwa job, huwa anacheki wife.
Thanks, maana huku tanesco washafanya yaoGoli la pili la Croatia
View attachment 2429259
Tako lako lina kilo ngapi?Tackle nalo ni kiungo likizid ni offside hamna mjadala[emoji1787]
HahahahEmbu tuone
Mzeya sii uwage unatuambia na sie tutie mzigoTayari 36,000 imeingia mfuko wa shati kama faida
Not yetEndapo matako yatabaki hivi hivi basi Morocco itakuwa timu ya kwanza kutoka Africa kufuzu mtoanoView attachment 2429261
Matokeo 🤣🤣🤣🤣Endapo matako yatabaki hivi hivi basi Morocco itakuwa timu ya kwanza kutoka Africa kufuzu mtoanoView attachment 2429261
Kivipi MkuuEndapo matako yatabaki hivi hivi basi Morocco itakuwa timu ya kwanza kutoka Africa kufuzu mtoanoView attachment 2429261
utaotea mara moja, baada ya hapo kifuatacho[emoji1787]
Mbona nimeandika humu kumuelekeza Saint AnneMzeya sii uwage unatuambia na sie tutie mzigo
Morocco uhakika upoMatokeo yakibaki hivi hivi Morocco amefuvu kwasababu mechi ya mwisho ni Croatia vs Belgium.View attachment 2429273