Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Matokeo yakibaki hivi hivi Morocco amefuvu kwasababu mechi ya mwisho ni Croatia vs Belgium.View attachment 2429273
Si kweli sababu Belgium [emoji1045] inategemea atashinda ngapi vs Croatia [emoji1082] na Morocco [emoji1173] result yake vs Canada [emoji1063] itakuwaje but kwa table hii Morocco [emoji1173] ana asilimia 80 ya kufuzu
Belgium kwa sasa anahitaji ushindi huku Croatia na Morocco wakihitaji sare
 
Kiukweli kipindi hicho tulikuwa seriously sijui kitu gani kiliingia hapo kati , tungeluendelea na ule moto tungekuwa mbali sana , vizazi hico bhasi tu havijaacha warithi wa kweli
Maximo alitoa Usimba na Uyanga, wachezaji wake alikua anatoa nje, Mtibwa na timu ndogo, Simba na Yanga anaongezea tu tena wenye nidhamu. Enzi hizo kina Meki Mexime, Nditi, Nizar Khalfan, Bocco, Henry Joseph etc core nzima ya Timu ilikuwa sio simba na yanga.
 
Kweli kabisa ..hizi timu za biashara za jiji zimechangia saja kuharibu timu ya taifa
 
Si kweli sababu Belgium [emoji1045] inategemea atashinda ngapi vs Croatia [emoji1082] na Morocco [emoji1173] result yake vs Canada [emoji1063] itakuwaje but kwa table hii Morocco [emoji1173] ana asilimia 80 ya kufuzu
Belgium kwa sasa anahitaji ushindi huku Croatia na Morocco wakihitaji sare
Asilimia 99 mkuu, maana Belgium akimfunga Croatia goal difference itazidi kuwa kubwa, itabidi ili Morocco atoke Canada amfunge Morocco goli za Kutosha.
 
Back
Top Bottom