Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Mrembo kuzid yule dada wa DSTV mkuu. Anaitwa Juliette StuartHuyu kocha wa canada ana moyo, yaani ana mrembo vile kwenye bench lakeπ€£π€£π€£π€£π€£
Mfumo mbaya sana kwa mataifa madogo.@world cup ijayo navyosikia timu zitakuwa 48 na makundi yatakuwa na timu 3 atakae ongoza kundi ndio anaenda hatua inayo fuata
Nipe site ya kubeti sasaHaya mechi hiyo hapo kama wajiamini wape goli zipatikane 3
Odds ni 1.7
Mi nimeweka faida itakuja 36,000
Hasara itakuja 64,000
Haya mambo yakusema bahati ya makundi wakati unataka kwenda kupambana huko duniani ni dalili tosha za kuonyesha kuwa bado haupo sawa kucheza world cup. Wee unatakiwa uweze kuwaburuza huku africa kwanza ndio ukatambe ulimwenguni huko.Kipindi cha Maximo tulifuzu makundi ya Kugombania, na tukawa wa 3 point 1 nyuma ya Cape verde wa pili, Cameroon alifuzu kundi letu, Enzi zile watangazaji wetu wanajidai Ngasa ni bora kuliko Etoo. Kuna bahati ya kundi unalopewa, timu kali zinaweza kupewa kundi moja na Timu ndogo zikawa na mkubwa ambae hatishi sana.
Kumbe na wee umemuonaaa...asii ni mrembo kweli kweli yule dada. Michael owen pale lazima atakuwa anapitaπ€£π€£π€£π€£Mrembo kuzid yule dada wa DSTV mkuu. Anaitwa Juliette Stuart
Shida ni ngoziHata Cameroon wanacheza nje mkuu
SanaMfumo mbaya sana kwa mataifa madogo.
Canada anaongoza mojaKumbe na wee umemuonaaa...asii ni mrembo kweli kweli yule dada. Michael owen pale lazima atakuwa anapitaπ€£π€£π€£π€£
Mazee canada nagapi huko maana huku tanesco wamechukua chao
Nilikuwa napitia hapa viwangoUmenikumbusha hicho kipindi , sema some how tulikuwa bora
Tz nzima sjuiTanesco washasepa na umeme wao.. kuna hatihati ya kukosa game ya spain vs germany Dah tanesco mlaaniwe
Kuiona mitaa kunaingiliana vipi na mpira?Moroco kinachowabeba wako karibu sana na ulaya. Unaambiwa kuna maeneo Moroco ukipanda juu ya mti unaiona baadhi ya mitaa Spain na Ureno
SareKanada anamkazia
Kiukweli kipindi hicho tulikuwa seriously sijui kitu gani kiliingia hapo kati , tungeluendelea na ule moto tungekuwa mbali sana , vizazi hico bhasi tu havijaacha warithi wa kweliNilikuwa napitia hapa viwango
CAF-ranking table and transition chart of 2 September 2009 | FIFA world ranking β table & charts
fifa-ranking.free-data.net
Tulimfunga New Zealand mechi ya kirafiki wakati wanaenda kushiriki kombe la dunia.
Ki Africa ukiangalia msimamo hatukuwa mbali na South Africa na Senegal, tulikuwa vizuri, hata Kina Ivory Coast, Nigeria na Cameroon walivyokuja tulikuwa tunakaza as if tunalingana viwango.
Labda huwa wanawaona jinsi wanavyopasha misuli na wenyewe wanaiga πππKuiona mitaa kunaingiliana vipi na mpira?
Haiwezi kuwa nchi nzima.Tz nzima sjui