Wanacheza vizuri,ila nadhani bahati siyo Yao kushindaMgaagaa na upwa hali wali mkavu....naiona hii methali kwa Uhispania muda si muda watapata bao...maana wana ambaa ambaa kwny lango la ujerumani mara kwa mara...
Niliandika hapaDeusch wanacheza mpira wao wa nguvu sasa ila spain wasipokuw makini wataenda na maji
bongo sawaDuuu uchungu sana haya ma VAR
Mimi sio ujeruman tafadhali....Tafuteni la halali
Achana na hii Tv utaugua macho. Hawa ni wazuri kwenye vipindi vya Usalama barabarani na uraia (UBU)Naangalia tibisii naona kama dream league 2015,yan kero tupu