Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo tutakua kinyune maana mimi ni timu Nazi.Leo tukuite nani....anyways mi nataka mkoloni asepe na hapa naona washafunga..sijui dua la kuku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana na hii Tv utaugua macho. Hawa ni wazuri kwenye vipindi vya Usalama barabarani na uraia (UBU)
Yani kama mnadhani wanaweza kubeba hili kombe, ni muda wa kujifikiria upya.Spain sijui wana shida gani???
Pia alienda dressing room kuwahimiza wachezaji wote wa Croatia! 🤗 Soka raha banaView attachment 2429371
Ujerumani dakika hizi za mwisho kipindi hiki cha kwqnza wamechangamka kwa mpira wao ule wa nguvu kidogo spain wamepunguza kasiRudiger....anataka kuwapelekea moto watu hapa. Spain wakajipange..wanafika kwenye box and just like that wanalose. Mwisho wagawane point....
Leo tukuite nani 🤣🤣🤣🤣. Tabia za mbwa sizipendi...kwaiyo niite sungura nimekaa paleeeeeSasa hapo tutakua kinyune maana mimi ni timu Nazi.
WamepoozaSpain sijui wana shida gani???
Kama mate ya mgonjwa dadaWamepooza
Hili kombe linarudi France tena, ni swala la kuangalia tu atakae kutana nae robo fainali.Kati ya Argentina na Spain mmoja wapo atachukua kombe
Kwa kubeba hapana lakini mjeruman simuelewi ndo maana I choss SpainYani kama mnadhani wanaweza kubeba hili kombe, ni muda wa kujifikiria upya.
Kwa hiyo unatuona sisi wabrazili ni mambwisye kuweni na adabu bana. Tambueni uwepo wetuKati ya Argentina na Spain mmoja wapo atachukua kombe