Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tuwatazamie zaidi kwenye WC ijayo, hii ya sasa nadhani wamekuja kukua na kupata uzoefu.

Kocha wa Ger achange karata zake vizuri kuwaua Spain katikati ya dimba atafanikiwa.
Busquets tayari amepata kadi ya njano, atapunguza aggressiveness. Akina Jamal Musiala wakifanya homework yao vizuri wanaweza kupenya.

Otherwise, Germany wasipoweza kuikamata midfield, mchezo hautakua upande wao. Naona mashambulizi yao yote yanatokea pembeni pamoja na dead balls. Ila madogo wanapenya vizuri tu na kufika golini kwa Germany.

Ngoja tuone second half watarudi na mbinu zipi.
 
Spain wana uwezo mkubwa sana wa kucontrol, kuhold mpira na kutawala uwanja.

Ujerumani wanapaswa kupata kiungo mmoja tu wa kutawala kiungo na kutupa mipira kwa Gnabry na Musiala

Kwsbb Musiala amekamatwa sanaa na defenders wawili mpaka watatu.
 
Back
Top Bottom