Namora
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 410
- 1,014
Wewe ni mbuzi meeh waaziwa.😂Leo tukuite nani 🤣🤣🤣🤣. Tabia za mbwa sizipendi...kwaiyo niite sungura nimekaa paleeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mbuzi meeh waaziwa.😂Leo tukuite nani 🤣🤣🤣🤣. Tabia za mbwa sizipendi...kwaiyo niite sungura nimekaa paleeeee
Na mkeka unasoma hivyo?Ila na uhakika German anashinda hii mechi
Spain atafungwa kwa mipira iliyokufa.Busquets tayari amepata kadi ya njano, atapunguza aggressiveness. Akina Jamal Musiala wakifanya homework yao vizuri wanaweza kupenya.
Otherwise, Germany wasipoweza kuikamata midfield, mchezo hautakua upande wao. Naona mashambulizi yao yote yanatokea pembeni pamoja na dead balls. Ila madogo wanapenya vizuri tu na kufika golini kwa Germany.
Ngoja tuone second half watarudi na mbinu zipi.
NdiyoHalfTime bilabila.
Unapigwa mpira mwingi sana. Hawajapoa hata kidogo. Labda kwa sababu wadada mmezoea "raha ya mechi bao"Ndio huohuo
Au Kwa sababu tunashabikia Spain ndo maana tunaona wanabanwa
I don wannnaaWewe ni mbuzi meeh waaziwa.😂
Tangu wawajengee ile reli mpaka leo ni miaka zaidi ya 100 mmeshindwa kutengeneza railway network kama ile.Wajerumani bana waliwagongesha sana stiki babu zetu kwenye ujenzi wa reli ya kati. Imagine mdingi anagongeshwa stiki hadi anashindwa kukaa siku 3 makalio yanawaka moto. Siwezi kuipenda nchi ya hivi
Kwa kweli mimi Mpira usio na mabao siupendiUnapigwa mpira mwingi sana. Hawajapoa hata kidogo. Labda kwa sababu wadada mmezoea "raha ya mechi bao"
[emoji28][emoji28][emoji28]
We unaongea hivi ukiwa raia wa wapi?Tangu wawajengee ile reli mpaka relo ni miaka zaidi ya 100 mmeshindwa kutengeneza railway network kama ile.
Hii ni kwasababu hakuna anayewaforce kama ilivyokuwa kwa babu zenu ndiomaana mnashindwa, walikuwa sawa kuwapiga.
Pole sissyI don wannnaa
🤣🤣🤣Mkuu najuuuta kabisa...hivi serikali haioni hilo tatizo?Achana na hii Tv utaugua macho. Hawa ni wazuri kwenye vipindi vya Usalama barabarani na uraia (UBU)
Wewe jibu swali langu la msingi.Pole sissy