whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Usingizi umenipenda zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani. Serikali inayowaonea wivu wananchi wakiwa na umeme wa uhakika watafikiria saa ngapi kuiboresha Tbc!🤣🤣🤣Mkuu najuuuta kabisa...hivi serikali haioni hilo tatizo?
Nyama ngumu hiiJapo nakwenda kulala, ila nawatakia Germany ushindi, japo wa goli moja.
Hivi ni kweli??Wajerumani bana waliwagongesha sana stiki babu zetu kwenye ujenzi wa reli ya kati. Imagine mdingi anagongeshwa stiki hadi anashindwa kukaa siku 3 makalio yanawaka moto. Siwezi kuipenda nchi ya hivi
Dah mjerumani unaambiwa hakuwa na mchezo, ukigomea stiki unakula kitanziHivi ni kweli??
Aisee mimi nisingekubali kupigwa,liwalo na liwe.
Mimi nashabikia Germany mkuu ciz naAppreciate mambo waloyofanya nchini. Leo tu nimesali kwenye Parokia waliyoijenga waoWewe jibu swali langu la msingi.
Tangu wawajengee ile rail network yao (miaka zaidi ya 100 iliyopita), mmeweza kuijenga nyingine?
NB: Kumbuka uhuru wamewapa tangu miaka 60 iliyopita.
Tungenyongana akiyananiDah mjerumani unaambiwa hakuwa na mchezo, ukigomea stiki unakula kitanzi
unataka mabao mangapi kabla ya kulala?Kwa kweli mimi Mpira usio na mabao siupendi
Hapa nataka nikalale tu.
Wee nae upo kwenye world cup...mie nikadhani umepakatwa na bby mida hiiHawafungi wala kufungwa
Nikalale.