BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
WatokeGermany bye bye
Kimahesabu ikoje? Kama game ya mwisho Germany akimpiga costa rica goli hata 7 halafu Japan akafungwa na SpainGermany bye bye
Wew ni mamluki...nshagundua huna timuKwanza wajerumani wanashabikia ushoga. Watoke tu. Spain piga hao
Pia kuna watu wengi tu wanaitumia ile reli iliyojengwa na mjerumani ambayo wewe hujaisema kwasababu babu zako walipigwa kwenye ule ujenzi.Mimi nashabikia Germany mkuu ciz naAppreciate mambo waloyofanya nchini. Leo tu nimesali kwenye Parokia waliyoijenga wao
Hata England piaKwanza wajerumani wanashabikia ushoga. Watoke tu. Spain piga hao
Wote hawana maana.., hivi Huwa wanatushabikia Wafrika kweli?Kwanza wajerumani wanashabikia ushoga. Watoke tu. Spain piga hao
Mbona havina uhusiano na kufungwa vipi kwa Qatar amabao hawajahamasishaNilikuaga namkubali mjerumani ila toka ule upuuzi walioufanya mechi ya kwanza kudai wananyimwa nafasi ya kusema kuhusu ushoga nilianza kuwachukia.
Wapigwe
Wapigwe
Wapigweeeeeee. Mbwa hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kile alichokifanya siku ile apigwe tu. Huyu hajaonyesha ki mbelembeleMkuu wazungu wote lao moja sema tofauti ni kimbele mbele
Argentina hawaungi mkono ushogaMkuu wazungu wote lao moja sema tofauti ni kimbele mbele
Timu yangu ni Brazil tu yaani hua sibadiriki. France inafuatia baada ya BrazilWew ni mamluki...nshagundua huna timu
Watakuwa wanatushabikia si ndo maana kwenye timu zao naona kuna waafrikaWote hawana maana.., hivi Huwa wanatushabikia Wafrika kweli?
Africa ni maji huwezi kuikwepa.Nilitaka nishangae kwamba Kama Kuna Timu ya Ulaya ambayo haina hata mtu mwenye asili ya Afrika..
Kaingia hapo mmja upande wa Spain
Kiaje?Ujerumani kwa heri
Bao sijajuaArgentina hawaungi mkono ushoga
2010 Afrika kusini walikuwa na BoothAfrica ni maji huwezi kuikwepa.
Huwezi kukuta mzungu national team za Africa lakini kumkiuta muafrica kwa wazungu ni rahisi