Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Spain hana defence nzuri....itawacost. hafiki robo fainali huyu
 
Offside ilionekana tangu muda lakini kinendera hakutoa ishara ili mpira usiendelee kuchezwa

Lakini alivyoona ule mpjra unaenda kuleta madhara kwenye goli la mpinzani akanyoosha flag, sa hii ndio nini?

Refa unalaumu wachezaji kupoteza muda wakati wenzako wa nje nao wanaifanya hiyo kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…