Ndo nashangaa na mimiOffside ilionekana tangu muda lakini kinendera hakutoa ishara ili mpira usiendelee kuchezwa
Lakini alivyoona ule mpjra unaenda kuleta madhara kwenye goli la mpinzani akanyoosha flag, sa hii ndio nini?
Refa unalaumu wachezaji kupoteza muda wakati wenzako wa nje nao wanaifanya hiyo kazi
Hao siwaonei huruma wafungwe la pili tu.Waonee huruma basi na ww[emoji1787]
Kwa akili yako unajua kabisa kuwa they are against each other?[emoji4]Upinde 0 : 1 Spain
Mimi sijui ayo nachojua ni upindeKwa akili yako unajua kabisa kuwa they are against each other?[emoji4]