Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Ndo nashangaa na mimiOffside ilionekana tangu muda lakini kinendera hakutoa ishara ili mpira usiendelee kuchezwa
Lakini alivyoona ule mpjra unaenda kuleta madhara kwenye goli la mpinzani akanyoosha flag, sa hii ndio nini?
Refa unalaumu wachezaji kupoteza muda wakati wenzako wa nje nao wanaifanya hiyo kazi