Ujerumaji wangekuwa na Toni Kroos mambo yangekuwa bam bam, hatahivyo mechi ijayo wakimwazisha Sane, Musiala na Gnabry watashinda mapema sanaWajerumani wakiwa serious ni timu kali. Wamekuwa na uvivu flani kwenye hili kombe.
Sirudii tena
Keka limesoma hivyoo dah...Hii wiki imekuwa mzigoooNa mkeka unasoma hivyo?
Isije ikawa ni promo la kiushabiki wakati kibiashara umemkataa
Aaah! Nikufunishe kubeti?? Mkuu mbona huionei huruma pesa yako?Mkuu naomba nifundisheni kubet natamani lakini sijui
Hujui ball busquet hajawahi kuwa faster ila kachukua kila kombe aliloshirikiLeo naona kama Spain anafungwa na Germany... Spain wamekosea kumuweka RODRi Kuwa beki, wamekosea kumuacha Ansu fati nje.. wamekosea kumuanzisha Jordi Alba.. wamekosea kumuweka busquet yuko slow sana....
Spain ni timu yangu lakini leo anafungwa.. niko pale nimekaa
Hakuna number 6 kama bus simply Rodri mwenyewe Ana mcopy busKwa nini Rodrigo amekuwa centre back leo?
Hawez anza mido mbele ya busquetsNdio maana nasema leo spain anapigwa..
FerranHivi Huyu Dogo Wa Spain [emoji633] anatamkwa Fernando Torres au Nasikia Vibaya?
Technically Ujerumani keshatolewa... Spain atadroo na Japan, mchezo kwisha.Uhakika wa Ujerumani kumfunga Costa Rica upo
Kazi itakuwa sasa matokeo ya Spain na Japan
Kama Japan itashinda Ujerumani watatakiwa kuwafunga Costa Rica kwa formula hii
9-magoli ambayo spain atafungwa
Hii ni kwa vile wakifungana point GD ndiyo itakayoangaliwa. Kwa sasa Spain ana GD ya 7 na Ujerumani ana JD ya -1
Japan akimfunga Spain 1-0 au magoli yenye tofauti ya moja itabidi Ujerumani wawafunge Costa Rica goli 8
Ya Morocco vs Belgium je?Best match so far in world cup
Umetaja meschi rahisiYa Morocco vs Belgium je?
Argentina vs Mexico?
Brazil vs Serbia?
Mbona unanifokea? Wewe unaitwa Anty nani? Maana mashoga uwa munajiita ma Anty..Kama ww sio shoga hayo mambo ya ushoga yanakuathiri vp?
Waafrika bwana mnajifanya kupinga ushoga hadharani ilihali kifichoni mnalala nao!! Hawa mashoga waliojaa Tanzania mabwana zao kina Nani? Waafrika acheni unafiki mngekuwa mnachukia ushoga kweli afrika kusingekuwa na mashoga..
Acheni kutu ektia hapa
Na mjerumani akimfunga Costarica kwa magoli mengi? Hii ngoma bado mkuu,Japan ana point 3 German 1 na Costarica 3 Spain ana point 4Technically Ujerumani keshatolewa... Spain atadroo na Japan, mchezo kwisha.
Huwa wana faida ya kuwa na wachezaji wengi wenye viwango, ila wakikutana na France utawaonea hurumaYan hii timu ya Spain imeanza kujengwa toka kwenye Euro sasa kama wataendelea hivi tutegemee wanaweza kufanya makubwa Euro ya 2024.
Sent using Jamii Forums mobile app