Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mkuu naomba nifundisheni kubet natamani lakini sijui
Aaah! Nikufunishe kubeti?? Mkuu mbona huionei huruma pesa yako?

Mimi nishawahi pasuka mara mbili kwa muhindi

Na walioniponza ni wale majamaa wa hamasa na uzi wao wa wazee wa kubeti

Wale majamaa wanakupa hamasa kwa screenshots za mikeka waliyokula ukijichanganya tu umekwishaaa

Niliweka pesa yangu kwa Barcelona dhidi ya Real betis, Barcelona ya Messi tena yenye full mkoko nikaweka kibunda nikimpa ushindi Barcelona...end of the game yale mafala yakasuluhu

Wakani pump tena kuwa leo kuna game nzuri sana na odds zimekaa poa, ilikuwa ni Madrid na Ajax tena ilikuwa ndio mechi ya kwanza ya Zidane ya ujio wake wa mara ya pili

Madrid walipasuka...

Tangu hapo nikasema sheeenzi, hata nikija kusikia Madrid amacheza na Ihefu sitii mzigo. Nitakubali niwashabikie kishabiki ila kibiashara siwezi kumdhamini masai afu mwisho wa siku aje aniachie shuka.

Mi ntaanza kubeti kama muhindi ataweka odds kwenye mechi za marudio kama hii game ya Spain na Germany ilivyoisha sasa nina confidence ya kuibetia kwasababu najua kila kitu
 
Leo naona kama Spain anafungwa na Germany... Spain wamekosea kumuweka RODRi Kuwa beki, wamekosea kumuacha Ansu fati nje.. wamekosea kumuanzisha Jordi Alba.. wamekosea kumuweka busquet yuko slow sana....

Spain ni timu yangu lakini leo anafungwa.. niko pale nimekaa
Hujui ball busquet hajawahi kuwa faster ila kachukua kila kombe aliloshiriki

Football is not about speed its about itelligency

Rodri na Busquest unajua wanacheza number moja na aina moja ya uchezaji?
 
Uhakika wa Ujerumani kumfunga Costa Rica upo
Kazi itakuwa sasa matokeo ya Spain na Japan
Kama Japan itashinda Ujerumani watatakiwa kuwafunga Costa Rica kwa formula hii
9-magoli ambayo spain atafungwa
Hii ni kwa vile wakifungana point GD ndiyo itakayoangaliwa. Kwa sasa Spain ana GD ya 7 na Ujerumani ana JD ya -1

Japan akimfunga Spain 1-0 au magoli yenye tofauti ya moja itabidi Ujerumani wawafunge Costa Rica goli 8
Technically Ujerumani keshatolewa... Spain atadroo na Japan, mchezo kwisha.
 
Mnaomchukulia poa busy oneni
Screenshot_20221128-011321~2.jpg
 
Kama ww sio shoga hayo mambo ya ushoga yanakuathiri vp?
Waafrika bwana mnajifanya kupinga ushoga hadharani ilihali kifichoni mnalala nao!! Hawa mashoga waliojaa Tanzania mabwana zao kina Nani? Waafrika acheni unafiki mngekuwa mnachukia ushoga kweli afrika kusingekuwa na mashoga..
Acheni kutu ektia hapa
Mbona unanifokea? Wewe unaitwa Anty nani? Maana mashoga uwa munajiita ma Anty..
 
Spain watacheza kifaza game ya mwisho maana wao wanna uhakika wa kufuzu. Japan akitoka ni uzembe wake mwenyewe, German anatakiwa kumla za kushato kostarika japo game unaweza ikawa ngumu maana wameshinda dhidi ya Japan ivyo kama wakifanikiwa Kim kazi a German hata diroo basi wanna uhakika wa Kupitia.
 
Back
Top Bottom