Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Ujerumaji wangekuwa na Toni Kroos mambo yangekuwa bam bam, hatahivyo mechi ijayo wakimwazisha Sane, Musiala na Gnabry watashinda mapema sanaWajerumani wakiwa serious ni timu kali. Wamekuwa na uvivu flani kwenye hili kombe.
Rudiger ana uzito flan halafu anapooza sana mpira