Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Watanzania tuna ustaarabu gani?Hivi Mbona Mashabiki wa Japan Wana Heshima Iliyopitiliza?
Leo walifungwa lakini bado walibaki uwanjani kusafisha na kuokota makopo upande wao???
Eeeh watanzania huwa tunajiona ndio wastaarabu dunia nzima kumbe kuna Japan
Matiti makubwa sanaPia alienda dressing room kuwahimiza wachezaji wote wa Croatia! [emoji847] Soka raha banaView attachment 2429371
Ujeruman hanaga uwezo kwa spain kadundwa mno izo euro 2008 na 2012Watoto wa Hitler siku izi wamekuwa mchele mchele sana ..timu kama ya Spain siyo ya kutowa nao diroo
Ikitokea Tanzania imefuzu 2026, je wakongwe wataenda kina Manara, Bocco, Ngassa?Wakongwe uwanjani!View attachment 2429372
Hata leo Watz wanahitaji stiki ili wafanye mamboHivi ni kweli??
Aisee mimi nisingekubali kupigwa,liwalo na liwe.
brazil vs serbiaYa Morocco vs Belgium je?
Argentina vs Mexico?
Brazil vs Serbia?
Japan anahitaji kushinda na sio sare sababu ana goal difference 0 na point 3 na Germany [emoji629] ana point 1 so kama Japan atajitia kiherehere kupata sare amekwisha sioni Costa Rica yenye short on target 1 kwa mechi 2 atamzuia Germany kushindwa kupata magoli zaidi ya 2 sioniTechnically Ujerumani keshatolewa... Spain atadroo na Japan, mchezo kwisha.
Wewe jmaa hujui football,harafu kombe la Dunia hakuna mnyonge ....Japan anahitaji kushinda na sio sare sababu ana goal difference 0 na point 3 na Germany [emoji629] ana point 1 so kama Japan atajitia kiherehere kupata sare amekwisha sioni Costa Rica yenye short on target 1 kwa mechi 2 atamzuia Germany kushindwa kupata magoli zaidi ya 2 sioni
Shaqiri,Embolo, Xhaka leo wamfundishe Brasil soccer.wale mashabiki wa switzeland leo tuna jambo letu saa1
bila kumsahau yan sommer uyu kipa ameshindkana kwenye hii dunia magoli ya mchongo kama yale ya Richallison ataishia kiwafunga wachovu serbia tu.Shaqiri,Embolo, Xhaka leo wamfundishe Brasil soccer.
Utapigwa kama ngoma ngoja ifike hyo saa moja, sijaona wakumzuia Brazil na samba zaowale mashabiki wa switzeland leo tuna jambo letu saa1
Sommer ni wakawaida2 2+ zitamhusuubila kumsahau yan sommer uyu kipa ameshindkana kwenye hii dunia magoli ya mchongo kama yale ya Richallison ataishia kiwafunga wachovu serbia tu.
Yaani unategemea embolo aende battle na silva kweli mkuu!!Shaqiri,Embolo, Xhaka leo wamfundishe Brasil soccer.
Silva uyu anayepigwa chenga na kina Caicedo wa brighton ndio aje amzuie jitu lenye miraba minne Embolo serious?Utapigwa kama ngoma ngoja ifike hyo saa moja, sijaona wakumzuia Brazil na samba zao