Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hivi Mbona Mashabiki wa Japan Wana Heshima Iliyopitiliza?

Leo walifungwa lakini bado walibaki uwanjani kusafisha na kuokota makopo upande wao???

Eeeh watanzania huwa tunajiona ndio wastaarabu dunia nzima kumbe kuna Japan
Watanzania tuna ustaarabu gani?
Japanese ndio maana passport yao ni namba 1 kwenye ranks duniani. Unajua kwanini? Google.
 
Nakumbuka mwaka 2018 kombe la Dunia ujeruman alikuwa hivi hivi ,alikuwa anahitaji ushindi ili afuzu 16 Bora ,Tena game ya mwisho alikuwa anacheza na Korea kina son ......basi watu wakajua kabisa ujeruman anaenda kumchapa goli za kutosha Korea kudadekiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpira sio kitu rahisi .....

HT ilikuwa 0-0 ,siku hio Korea waliwaka moto baraaa kina son walikuwa wanakimbia uwanjan utafikili wametumwa ...

Kipindi Cha pili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujeruman alipigwa goli 2 kama amekaa ,goli la son dakika ya 90+ aliwafanya ujeruman kukusanya virago kutoka Russia ....mpaka wakasema ozil ndio alikuwa mvivu uwanjan ,maneno yakawa mengi kwake ozil akaona msilete ufala akaijitoa timu ya taifa ,na kusema amestafu ....


Sasa kuna watu wanachukilia poa Costa Rica ,ila nawambia ujerumani ataita maji mmaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Technically Ujerumani keshatolewa... Spain atadroo na Japan, mchezo kwisha.
Japan anahitaji kushinda na sio sare sababu ana goal difference 0 na point 3 na Germany [emoji629] ana point 1 so kama Japan atajitia kiherehere kupata sare amekwisha sioni Costa Rica yenye short on target 1 kwa mechi 2 atamzuia Germany kushindwa kupata magoli zaidi ya 2 sioni
 
Japan anahitaji kushinda na sio sare sababu ana goal difference 0 na point 3 na Germany [emoji629] ana point 1 so kama Japan atajitia kiherehere kupata sare amekwisha sioni Costa Rica yenye short on target 1 kwa mechi 2 atamzuia Germany kushindwa kupata magoli zaidi ya 2 sioni
Wewe jmaa hujui football,harafu kombe la Dunia hakuna mnyonge ....

Kamuuliza Korea alichomfanya Germany mwaka 2018 kule urusi na ndio alimtoa ujeruman kwenye hatua za makundi ,....

Korea alimchapa goli 2-0 ujeruman ,na hawakuamin kabisa [emoji23] na walikuwa wanamchukia poa hivo hivo ....

Costa Rica sio timu za Africa za wavivu wavivu ,Hawa wanaenda kumsimamaisha ujeruman...
 
Fred will wear the number 10 for Brazil today.


Tite and Neymar thought this would be a good idea to boost Fred’s confidence.
1669612253572.png
 
Back
Top Bottom