Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Haya wewe unaujua mpira?
 
Team Brazil wazee wa samba tujuane mapema huyo Switzerland kayakanyanga
Pira samba pira Brazilian hair pira sex
Watupe kombe letu mapema sijaona timu ya kutuzuia sisi tuna watu tumekuja kubeba kombe siyo kushiriki vini [emoji91][emoji91]casemiro [emoji91][emoji91]pacueta [emoji91][emoji91]raphina [emoji91][emoji91]dani luiz[emoji91][emoji91] Bruno guimares[emoji91][emoji91]
 
Huu Msemo wa Never Write Off the Germans haukusemwa tu watu wajifurahishe, hawa jamaa wameshachukua Kombe, time and again wakiwa na Timu Mbovu na Mpira usiovutia.....

Kuna Kipindi walikuwa wabovu kinoma ila Oliver Kahn akawabeba mpaka Fainali.....
 
Hivi Mbona Mashabiki wa Japan Wana Heshima Iliyopitiliza?

Leo walifungwa lakini bado walibaki uwanjani kusafisha na kuokota makopo upande wao???

Eeeh watanzania huwa tunajiona ndio wastaarabu dunia nzima kumbe kuna Japan
Dah, kumbe wajep walifungwa?
Masikini **** motooo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…