Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wewe jmaa hujui football,harafu kombe la Dunia hakuna mnyonge ....

Kamuuliza Korea alichomfanya Germany mwaka 2018 kule urusi na ndio alimtoa ujeruman kwenye hatua za makundi ,....

Korea alimchapa goli 2-0 ujeruman ,na hawakuamin kabisa [emoji23] na walikuwa wanamchukia poa hivo hivo ....

Costa Rica sio timu za Africa za wavivu wavivu ,Hawa wanaenda kumsimamaisha ujeruman...
Haya wewe unaujua mpira?
 
16487526_1040db8e4bc344e2937a797f0fc223dc_jpeg_jpegde1fa0e1bf7def6bd6198906c245d67e.jpg

Wako wapi wale wa timu Portugal?
 
Team Brazil wazee wa samba tujuane mapema huyo Switzerland kayakanyanga
Pira samba pira Brazilian hair pira sex
Watupe kombe letu mapema sijaona timu ya kutuzuia sisi tuna watu tumekuja kubeba kombe siyo kushiriki vini [emoji91][emoji91]casemiro [emoji91][emoji91]pacueta [emoji91][emoji91]raphina [emoji91][emoji91]dani luiz[emoji91][emoji91] Bruno guimares[emoji91][emoji91]
 
Huu Msemo wa Never Write Off the Germans haukusemwa tu watu wajifurahishe, hawa jamaa wameshachukua Kombe, time and again wakiwa na Timu Mbovu na Mpira usiovutia.....

Kuna Kipindi walikuwa wabovu kinoma ila Oliver Kahn akawabeba mpaka Fainali.....
1669626071699.png
 
Hivi Mbona Mashabiki wa Japan Wana Heshima Iliyopitiliza?

Leo walifungwa lakini bado walibaki uwanjani kusafisha na kuokota makopo upande wao???

Eeeh watanzania huwa tunajiona ndio wastaarabu dunia nzima kumbe kuna Japan
Dah, kumbe wajep walifungwa?
Masikini **** motooo...
 
Back
Top Bottom