Niaje mchizi boti.Spain watacheza kifaza game ya mwisho maana wao wanna uhakika wa kufuzu. Japan akitoka ni uzembe wake mwenyewe, German anatakiwa kumla za kushato kostarika japo game unaweza ikawa ngumu maana wameshinda dhidi ya Japan ivyo kama wakifanikiwa Kim kazi a German hata diroo basi wanna uhakika wa Kupitia.
Qatar wameonesha kuwa mpira bila pombe inawezekanaWajerumani wanapata tabu,leo hatuwaoni na makombe yao yenye ulabu.
Kuna zawadi ya team yenye nidham sijui kama bado ipo huwaga wanaichukuaHivi Mbona Mashabiki wa Japan Wana Heshima Iliyopitiliza?
Leo walifungwa lakini bado walibaki uwanjani kusafisha na kuokota makopo upande wao???
Eeeh watanzania huwa tunajiona ndio wastaarabu dunia nzima kumbe kuna Japan
Nangoja timu zote za Africa zitoke ndio nijiunge rasmi Brazil.Team Brazil wazee wa samba tujuane mapema huyo Switzerland kayakanyanga
Tite na yy anaangaika sana.. Uwezo ni uwezo tu hata uvae no.99 kama unajua mpr utaonekana kiwanjan.Fred will wear the number 10 for Brazil today.
Tite and Neymar thought this would be a good idea to boost Fred’s confidence.
View attachment 2429515
Pira samba pira Brazilian hair pira sex
Watupe kombe letu mapema sijaona timu ya kutuzuia sisi tuna watu tumekuja kubeba kombe siyo kushiriki vini [emoji91][emoji91]casemiro [emoji91][emoji91]pacueta [emoji91][emoji91]raphina [emoji91][emoji91]dani luiz[emoji91][emoji91] Bruno guimares[emoji91][emoji91]
Cameroon watafanya maajabu,ni dakika 8 tu zimesalia,wampigige Serbia.