Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Spain watacheza kifaza game ya mwisho maana wao wanna uhakika wa kufuzu. Japan akitoka ni uzembe wake mwenyewe, German anatakiwa kumla za kushato kostarika japo game unaweza ikawa ngumu maana wameshinda dhidi ya Japan ivyo kama wakifanikiwa Kim kazi a German hata diroo basi wanna uhakika wa Kupitia.
Niaje mchizi boti.
Kwani na wewe ni timu upinde wa mvua?
 
Hivi Mbona Mashabiki wa Japan Wana Heshima Iliyopitiliza?

Leo walifungwa lakini bado walibaki uwanjani kusafisha na kuokota makopo upande wao???

Eeeh watanzania huwa tunajiona ndio wastaarabu dunia nzima kumbe kuna Japan
Kuna zawadi ya team yenye nidham sijui kama bado ipo huwaga wanaichukua
 
Cameroon na serbia

Cameroon wachezaji ni wazito
Hawana mbio
Hawana chenga
Sio hatari katika lango la timu pinzani


Cameroon nafasi ishirini anafunga moja

Sioni maajabu ya cameroon
 
Juzi samuel etoo alifanya mazoezi full Time na kikosi cha cameroon kinachowavaa serbia mchana huu

Samueli etoo ni kiongozi wa mpira nchini Cameroon

Ni bahati mbaya cameroon haitafuzu kwenda kumi na sita
Ila so far wana viongozi na timu iko stable nje ya uwanja ila wachezaji wa kawaida pia wamepangiwa kundi korofi

Kila la kheri cameroon
 
Wachezaj wengne kaz San Sasa Leo 1st choice goalkeeper wa Cameroon(Onana) ameachwa kwny kikosi hayuko hata sub tatz likiwa hakubaliani na mbinu za kocha.

Kwnz mchezaj unatakiwa ujue ww ni mchezaj ungetak kua kocha ungesomea uwe kocha.. Pa1 ni pigo kwa Cameroon hata ivo wanapoteza mda tu wanatoka kwnd nymbn.
 
Pira samba pira Brazilian hair pira sex
Watupe kombe letu mapema sijaona timu ya kutuzuia sisi tuna watu tumekuja kubeba kombe siyo kushiriki vini [emoji91][emoji91]casemiro [emoji91][emoji91]pacueta [emoji91][emoji91]raphina [emoji91][emoji91]dani luiz[emoji91][emoji91] Bruno guimares[emoji91][emoji91]

Subirini mkutane na sisi tuwale mkiwa wazima, umesahau ya Di maria alichowafanya😁😁

Brazil tayari tushawala na kuondoka nalo ⌛ hadi Buenos Aires

Italy tayari tushawala na kuondoka nalo ⌛ hadi jiji la Buenos Aires

Sasa tunamsubiri mmoja wao ajichanganye kati ya Spain, England au ufaransa, atakula kichapo mzee baba😂😂😂
 
Back
Top Bottom