vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Wachezaj wengne kaz San Sasa Leo 1st choice goalkeeper wa Cameroon(Onana) ameachwa kwny kikosi hayuko hata sub tatz likiwa hakubaliani na mbinu za kocha.
Kwnz mchezaj unatakiwa ujue ww ni mchezaj ungetak kua kocha ungesomea uwe kocha.. Pa1 ni pigo kwa Cameroon hata ivo wanapoteza mda tu wanatoka kwnd nymbn.
Huna timu ya ushindaniSubirini mkutane na sisi tuwale mkiwa wazima, umesahau ya Di maria alichowafanya[emoji16][emoji16]
Brazil tayari tushawala na kuondoka nalo [emoji353] hadi Buenos Aires
Italy tayari tushawala na kuondoka nalo [emoji353] hadi jiji la Buenos Aires
Sasa tunamsubiri mmoja wao ajichanganye kati ya Spain, England au ufaransa, atakula kichapo mzee baba[emoji23][emoji23][emoji23]
Kitasa una maana gani?Mark Viv foe ni mchezaji wa cameroon aliyefia uwanjani akiwa na timu ya taifa kwenye michuano ya mabara
Alikuwa kitasa na mpambanaji
Hapo awali dunia haikuzoea matukio ya mchezaji kufia uwanjani
Mpira wa miguu na maajab ya maombi ni mbingu na ardhiCameroon watafanya maajabu,ni dakika 8 tu zimesalia,wampigige Serbia.
Kitasa una maana gani?
Mda mwingine saikolojia inaweza kuongeza uwezo wa mtuTite na yy anaangaika sana.. Uwezo ni uwezo tu hata uvae no.99 kama unajua mpr utaonekana kiwanjan.
Sijajua umeona nini lakin kiukweli hapa africa mashariki tuwe excluded. East Africa hamna timu ya kwenda world cup....tutaoga magoli kila mmoja arudi na goli lake.Miaka yote timu za afrika zinazoshiriki kombe la dunia ni zile zile tu afu hamna kinachofanyika
Wabadili mfumo tu kama vp waende kwa Kanda tu 2024 Kanda ya Afrika mashariki nchi zote ziende kombe la dunia
2028 Kanda ya magharibi nchi zote ziende kombe la dunia labda tutaweza toboa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuliko Vicent Aboubakar?Roger miller, Samuel etoo, patrick mbona na rigobert song
Wanachukuliwa kama wachezaji bora wa muda wote wa cameroon
Kwasasa Ekambi ndio yupo kwenye standing form
Kuna mdau humu aliuliza Cameroom wamefikaje world cup. Leo namuelewa lile swali alimaanisha nini. Bora hata Tunisia alikua anajituma....
Hivi walimtoa Nani hao Cameroon mpka kushiriki kombe la duniaKuna mdau humu aliuliza Cameroom wamefikaje world cup. Leo namuelewa lile swali alimaanisha nini. Bora hata Tunisia alikua anajituma....
Ndio ttz la wachezaji wa africa timu zao za taifa wanadharauWachezaj wengne kaz San Sasa Leo 1st choice goalkeeper wa Cameroon(Onana) ameachwa kwny kikosi hayuko hata sub tatz likiwa hakubaliani na mbinu za kocha.
Kwnz mchezaj unatakiwa ujue ww ni mchezaj ungetak kua kocha ungesomea uwe kocha.. Pa1 ni pigo kwa Cameroon hata ivo wanapoteza mda tu wanatoka kwnd nymbn.
Kwangu mimi Mtaalamu ni huyu tu..., Bila huyu leo Africa sidhani kama tungekuwa tuna timu 5Roger miller, Samuel etoo, patrick mbona na rigobert song
Wanachukuliwa kama wachezaji bora wa muda wote wa cameroon
Kwasasa Ekambi ndio yupo kwenye standing form
Kuliko Vicent Aboubakar?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora tufanye hvyo tu labda Tanzania tunaweza shangaza ulimwengu tukamfunga Brazil 4 afu tukafika nusu fainal, [emoji41][emoji41]Sijajua umeona nini lakin kiukweli hapa africa mashariki tuwe excluded. East Africa hamna timu ya kwenda world cup....tutaoga magoli kila mmoja arudi na goli lake.
Alifungwa 1-0Nisaidie kudogo.
Hivi game ya Japan vs Costarica iliishaje?
Unataka uniambie Japan alifungwa?