Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Onana sijawahi kumuelewa
Wachezaj wengne kaz San Sasa Leo 1st choice goalkeeper wa Cameroon(Onana) ameachwa kwny kikosi hayuko hata sub tatz likiwa hakubaliani na mbinu za kocha.

Kwnz mchezaj unatakiwa ujue ww ni mchezaj ungetak kua kocha ungesomea uwe kocha.. Pa1 ni pigo kwa Cameroon hata ivo wanapoteza mda tu wanatoka kwnd nymbn.
 
Subirini mkutane na sisi tuwale mkiwa wazima, umesahau ya Di maria alichowafanya[emoji16][emoji16]

Brazil tayari tushawala na kuondoka nalo [emoji353] hadi Buenos Aires

Italy tayari tushawala na kuondoka nalo [emoji353] hadi jiji la Buenos Aires

Sasa tunamsubiri mmoja wao ajichanganye kati ya Spain, England au ufaransa, atakula kichapo mzee baba[emoji23][emoji23][emoji23]
Huna timu ya ushindani
Poland wanakusubir [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mark Viv foe ni mchezaji wa cameroon aliyefia uwanjani akiwa na timu ya taifa kwenye michuano ya mabara

Alikuwa kitasa na mpambanaji

Hapo awali dunia haikuzoea matukio ya mchezaji kufia uwanjani
Kitasa una maana gani?
 
Miaka yote timu za afrika zinazoshiriki kombe la dunia ni zile zile tu afu hamna kinachofanyika
Wabadili mfumo tu kama vp waende kwa Kanda tu 2024 Kanda ya Afrika mashariki nchi zote ziende kombe la dunia
2028 Kanda ya magharibi nchi zote ziende kombe la dunia labda tutaweza toboa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijajua umeona nini lakin kiukweli hapa africa mashariki tuwe excluded. East Africa hamna timu ya kwenda world cup....tutaoga magoli kila mmoja arudi na goli lake.
 
Wachezaj wengne kaz San Sasa Leo 1st choice goalkeeper wa Cameroon(Onana) ameachwa kwny kikosi hayuko hata sub tatz likiwa hakubaliani na mbinu za kocha.

Kwnz mchezaj unatakiwa ujue ww ni mchezaj ungetak kua kocha ungesomea uwe kocha.. Pa1 ni pigo kwa Cameroon hata ivo wanapoteza mda tu wanatoka kwnd nymbn.
Ndio ttz la wachezaji wa africa timu zao za taifa wanadharau
Katikati ya michuano unaleta hbr kama hizi
 
Roger miller, Samuel etoo, patrick mbona na rigobert song
Wanachukuliwa kama wachezaji bora wa muda wote wa cameroon

Kwasasa Ekambi ndio yupo kwenye standing form
Kwangu mimi Mtaalamu ni huyu tu..., Bila huyu leo Africa sidhani kama tungekuwa tuna timu 5
1669630854388.png
 
Sijajua umeona nini lakin kiukweli hapa africa mashariki tuwe excluded. East Africa hamna timu ya kwenda world cup....tutaoga magoli kila mmoja arudi na goli lake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora tufanye hvyo tu labda Tanzania tunaweza shangaza ulimwengu tukamfunga Brazil 4 afu tukafika nusu fainal, [emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom