The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Siunaona mpira wa Asia sshv ulivyo badilikaSijajua umeona nini lakin kiukweli hapa africa mashariki tuwe excluded. East Africa hamna timu ya kwenda world cup....tutaoga magoli kila mmoja arudi na goli lake.
Kwangu mimi Mtaalamu ni huyu tu..., Bila huyu leo Africa sidhani kama tungekuwa tuna timu 5
View attachment 2429801
Unadhani hii nafasi ya Cameroon walistahili kina nani ?...Misri, Algeria, Nigeria au hata Mali ?Kuna mdau humu aliuliza Cameroom wamefikaje world cup. Leo namuelewa lile swali alimaanisha nini. Bora hata Tunisia alikua anajituma....
Unatafuta ugonjwa wa moyo.Team cameroon this afternoon[emoji16]
Mwanangu hii huwa inaleta mzuka sana. Kama unaboeka hakikisha kaboa ya game unamchapa kimoja cha kigiriki ili alale akiamka anakuta mpira umeishaWatching football with this gender [emoji41][emoji41][emoji856][emoji856] requires high level of patience &special skills View attachment 2429729
Algeria.....tena walimpiga huko huko kwake jijini Algiers..Hivi walimtoa Nani hao Cameroon mpka kushiriki kombe la dunia
Ni sawa mkuu sijakataa. A change can always happen. Lakin nikuulize nchi yako inaambilika?? Waja hawa hawa unaowajua wewe...wa kwenda kurogana kabla ya mechi. Unavyoona mgunda na manara wanaweza kukaa meza moja na kuelewana ili taifa stars isonge?? Sana sana...watakubaliana kinafiki afu kila mmoja atataka mchezaji wake amzidi mwenzake kwenye timu ya taifa. Mpaka Rushwa, ubinafsi, uishe...for the benefit of the national team. La sivyo.....ndoigeSiunaona mpira wa Asia sshv ulivyo badilika
Saudi Arabia Iran south Korea Japan ni [emoji91][emoji91] usishangae hata Qatar akaja kumfunga Brazil 2028 huko
Walimtoa kwa asante ya refa Gasamma mgambiaAlgeria.....tena walimpiga huko huko kwake jijini Algiers..
Wakifungwa mnaowapenda inakuwa Asante ya refa...😂😂Walimtoa kwa asante ya refa Gasamma mgambia
Wajinga sana bas tuNdio ttz la wachezaji wa africa timu zao za taifa wanadharau
Katikati ya michuano unaleta hbr kama hizi
litasawazishwa[emoji23]
Naona utabir wako mkuu umeanza sahihiUtashangaa Cameroon ataongoza 1-0 halafu dakika za mwisho matokeo yanabadilika ghafla na kua 1-1