Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sijajua umeona nini lakin kiukweli hapa africa mashariki tuwe excluded. East Africa hamna timu ya kwenda world cup....tutaoga magoli kila mmoja arudi na goli lake.
Siunaona mpira wa Asia sshv ulivyo badilika
Saudi Arabia Iran south Korea Japan ni [emoji91][emoji91] usishangae hata Qatar akaja kumfunga Brazil 2028 huko
 
Simba wa teranga
IMG_20221128_132601_9.jpg
 
Siunaona mpira wa Asia sshv ulivyo badilika
Saudi Arabia Iran south Korea Japan ni [emoji91][emoji91] usishangae hata Qatar akaja kumfunga Brazil 2028 huko
Ni sawa mkuu sijakataa. A change can always happen. Lakin nikuulize nchi yako inaambilika?? Waja hawa hawa unaowajua wewe...wa kwenda kurogana kabla ya mechi. Unavyoona mgunda na manara wanaweza kukaa meza moja na kuelewana ili taifa stars isonge?? Sana sana...watakubaliana kinafiki afu kila mmoja atataka mchezaji wake amzidi mwenzake kwenye timu ya taifa. Mpaka Rushwa, ubinafsi, uishe...for the benefit of the national team. La sivyo.....ndoige
 
Back
Top Bottom