Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
aungHayo ni majibu mepesi mepesi ya sie waafrica kwenye mambo ambayo yanahitaji uandalizi wa maana.
Alipiga muwa mkaliume
sahau kilichowakuta SOUTH AFRICA? Wamshukuru Tshabalala aliyesawazisha
Nipo hapaWajerumani tujuane mapema sana, mwaka wetu huu
Qatar wametengeneza timu yao kwa almost miaka 10 sasa kujiandaa na kombe la dunia kupitia academy yao ya AspireKuna kasumba kwamba wenyeji mechi ya kwanza huwa hawapotezi je kwa qatar itawezekana
Hawa jamaa wameingia moja kwa moja hivi kikosi cha mashindano kweli wanacho wanakutana na equador wasije kupigwa 7 bila mechi ya ufunguzi 😃
Watu wanajua jamani daaahStadium 974 ni uwanja uliopo ufukweni na umepewa jina hilo kutokana na kutengenezwa na makontena 974 na utabomolewa punde tu baada ya michuano hiyo kuisha.View attachment 2383808View attachment 2383809View attachment 2383810View attachment 2383811View attachment 2383812
Nilikuwa nawadharau kumbe wanaweza kuja na suprise 👍Qatar wametengeneza timu yao kwa almost miaka 10 sasa kujiandaa na kombe la dunia kupitia academy yao ya Aspire
2019 kama unakumbuka walichukua ubingwa wa Asia
Hii World Cup nawapa nafasi angalau ya kufika Round of 16
2018 star times walionyesha mechi zote...Azam hawakuonyesha.Sasa hawa azam wasipo onyesha tutafanyaje jamani?
Walikuwa wanachagua mechi sijui walijiunga kifurushi cha week😂2018 star times walionyesha mechi zote...Azam hawakuonyesha.
Wanaweza wakafika hatua hiyo. Jumlisha kwamba ni timu mwenyeji, mbeleko lazma ziwepoQatar wametengeneza timu yao kwa almost miaka 10 sasa kujiandaa na kombe la dunia kupitia academy yao ya Aspire
2019 kama unakumbuka walichukua ubingwa wa Asia
Hii World Cup nawapa nafasi angalau ya kufika Round of 16
Inasemekana atakaa nje kwa miezi minneNgolo Kante atakosa kombe la dunia mara baada ya kupata majeraha
Tbc itakuwa liveDstv wamezindua leo msimu wa kombe la dunia ambapo watarusha kwenye kifurushi cha Compact ambacho ni elfu 56View attachment 2388168