Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Usiwasahau morocoKwa Afrika sina wasiwasi na Ghana pamoja na Senegal
Unamaanisha nini mrembo ?Teh tes teh .ma ma mae
Hana nidhamu....kushauri sio vibaya ila lazima nidhamu na heshima itangulieKamkataa Kocha eti hana mbinu kisa anacheza inter Milan
Wazo lako ni zuri sana. Trust me lazima tubadilishe sera za mpiraMiaka yote timu za afrika zinazoshiriki kombe la dunia ni zile zile tu afu hamna kinachofanyika
Wabadili mfumo tu kama vp waende kwa Kanda tu 2024 Kanda ya Afrika mashariki nchi zote ziende kombe la dunia
2028 Kanda ya magharibi nchi zote ziende kombe la dunia labda tutaweza toboa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpumbavu huyo.Kamkataa Kocha eti hana mbinu kisa anacheza inter Milan
Sidhani......mbona Pogba alikuja kimya kimya kutafuta ndumba ili apone haraka, kurejesha kiwango na amloge Mbape?Acha ubaguzi. Wengi wamezaliwa France n'a maisha yao yote hawajawahi kanyaga Africa.
Amloge mbape [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Sidhani......mbona Pogba alikuja kimya kimya kutafuta ndumba ili apone haraka, kurejesha kiwango na amloge Mbape?
Leo mpaka ww umetukana!!? kweli gem imetukera hiiTeh tes teh .ma ma mae
Kwamba yeye ndo SI unit, ya watu kufurahia au kukereka?Leo mpaka ww umetukana!!? kweli gem imetukera hii
Wakati mwingine ni vizuri kuweka akiba ya maneno.Baada ya dakika 90 huyo Onana bado anamcheka Etoo?Kwa mwendo huu magoli yatafika 10. Ninamuona Onana anacheeeeka.Etooo na kujiona kwake yeye ndo yeye leo anaumbuka.
Kaingia na kuvunja rekodi ya mchezaji kufunga na kutoa assist kutokea benchi.Chuki tu za Etoo.
Kama jinsi Sane alivyokosa goli jana, kwakutaka kupiga chenga.Kaingia na kuvunja rekodi ya mchezaji kufunga na kutoa assist kutokea benchi.
Sofascore waka mrate 8.4(most) kuliko wote.
Goli lake pia lilikuwa la kiakili, angejifanya anachenga ili apate nafasi asingefunga.
Cameroon keeper André Onana has been removed from their squad before they play Serbia today because of disciplinary reasons, according to multiple reportsOnana alifanya kosa gani, hata bench hayupo.
AtakuwepoNakubalinan na wee lazm Cameroon imle vzr na neema wao hatakuwepo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Toloo alitaka kurudi enzi zile za.bipedarlism Kwa kutembea Kwa miguu na mikono [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ni wa nchi gan yuleYupo sub [emoji41]
Alimkosoa kocha wakeOnana alifanya kosa gani, hata bench hayupo.
Maamuzi yalienda kinyume na situation.Kama jinsi Sane alivyokosa goli jana, kwakutaka kupiga chenga.
Yes anamcheka. Angekuwepo langoni asingefungwa. Kuongea lazima,this is football kwa hali ilivyokuwa kwa muda ule Cameroun wangefungwa mengi mno.Wakati mwingine ni vizuri kuweka akiba ya maneno.Baada ya dakika 90 huyo Onana bado anamcheka Etoo?