Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Miaka yote timu za afrika zinazoshiriki kombe la dunia ni zile zile tu afu hamna kinachofanyika
Wabadili mfumo tu kama vp waende kwa Kanda tu 2024 Kanda ya Afrika mashariki nchi zote ziende kombe la dunia
2028 Kanda ya magharibi nchi zote ziende kombe la dunia labda tutaweza toboa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazo lako ni zuri sana. Trust me lazima tubadilishe sera za mpira
 
Back
Top Bottom