Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hakuna draw hapo kuna mtu anaenda kufa leo hapo uwanjani tushaanza kuchonga jeneza mda huu watu wanachimba kaburi tayari uko maeneo
Nilisema tunachonga jeneza tayari goli lishajaa hio ndio ntolee halirudi hilo
 
Haya wamerudi Tena leo wako on fire sas watulie na siyo kuzuia wacheze mpiraa kwenda mbele tu
 
Hayo ma Cameroon mimi nayatamani kweli nikayatumie kwenye kazi zangu za kitumwa maana ndiyo yanachoweza miili mikubwa akili mavi ya mbuzi ya vipunjepunje. Nimechukia kwanini Serbia hajayafunga mapema. Wacha yatifuane. Kocha fala hana mbinu na michezaji nayo ndio mimbwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…