Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

😂😂😂😂😂mpira upo fasta mpaka nimeunguza jajangmyeon
Sisi wakorea tunasema


Yeomseo (Hello)[emoji23].

Haya magoli yamefanya nipate hamu ya kula KIMCHI na SOJU, Ahjumma Numbisa fanya mambo tafadhali.
 
Son hakosag chance kama zile, au kujeruhiwa uso kumemuathiri. Namuogopa son hatar,mana huyu hata iwe kona hua analenga mule mule lazma atikise nyavu. Wacha tuone
 
Duuuhh, niliogea kidogo kwenye screen, kurudi tu nikakuta ubao 2-3, hawa akina Son mbona wataharibu biriani...
 
Shehe Yahya nipe prognosis .Swiss vs Brasil. PORTUGAL VS URUGUAY.
Hapo magoli mengi mechi Brazil v Swiss na Swiss anapigwa kipigo kitakatifu, Swiss wataanza kufungwa na magoli mengi yapo kipindi cha pili

Portugal v Uruguay inaweza ikalala draw ila possibility kubwa ushindi kwa Portugal na wataanza kwa kufungwa kipindi cha kwanza
 
Back
Top Bottom