goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Babu unafananisha wc na NBC ligi haupo serious kweliKama upo hom unaangalia wc. Fanya kama unabadilisha channel na kuweka Azam sport1 mechi ya kmc na T. Prison Yani utahisi unaangalia singeli huku bongo, pira limepooza[emoji3061]
Sasa Rudi Qatar uone vibe lake
Tz au Africa bado sn kimpira.