Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Bora wangetuwakilisha Egypt na Algeria, na sio cameroon na tunisia, hata huyo ghana hamna kitu, hapo amekutana na kibonde akampiga 2 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
uyo kibonde unayemsema amekutana na uruguay mechi imeisha siyo suarez,darwin nunez wala valvede aliyepiga shot on target ata moja na ndio mechi ya kwanza kwenye WC hii kuisha bila shot on target[emoji16][emoji16]
 
usikute mtu alimaindi kisa kuambiwa Ronaldo punga
Hata humu huoni watu walivyofura ..sasa tungekuwa live unadhan ingekuwaje? Yani mtu hata hamjui ila anavyojitutumua tugombane kaaah
Sema amenikuta na mm huwa sio mtu wa kugombana kiviile nikiwa jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…