Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kabisa aisee..ladha ya mpira si km zamaniMpira wa siku hizi upo direct sana muda wa unao unao haupo tena
Ukirudi 2000s hiki kikosi chote kulikuwa hakna hadhi ya kuanza first eleven excluded silva,casemiro,golkipa
Ushindwe kuwashwa wewe mfukunyuliwaji niwashwe mie..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa, mie nimemchafua wapi huyo cr7? Unawashwaaaa weee. Mxxxieeeeeeew!!!!
Ee ni wale wale[emoji23][emoji23][emoji23] genta Tena jmn
Inshallah AminAtavuka kwa uwezo wa Mungu
Kwenye uvuvi lazima ujianikeWakati mwingine nakuelewega bas tu Kuna saa unajianika sna [emoji1]
Itabidi tumpe bange avute asizi aache kuchekaHuyo kawaida yake kucheka?hawezi comment bila hyo emoj
Hata mkipewa yanga final hamchukuiENGLAND...THE THREE LION`S (IT`S COMING HOME)
Alitolewa 16 bora na Germany Extra timeKwani algeria alishafanya maajabu gani world cup mkuu tuanzie hapo kwanza
Cameroon amewahi kufika robo je algeria amewahi kufika robo????
Facts First
Acheni uongo wazee wa zamani huwa mnawajaza mno ila mpira wako ulikuwa wa kawaida tu vipaji vilikuwa baadhi ya maeneo tu saivu nchi nyingi zina vipajiKabisa aisee..ladha ya mpira si km zamani
Hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu hachafuliwi anajichafua mwenyewe
Walioongoza makundi watacheza na wapili kwenye makundi mengine kupata timu 8 zitakazofuzu robo fainaliHivi 16 bora mchakato unakuaje kukutana kwa timu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mtu mbna umeni andama sanaaa? Mie ndo nloanzisha habari za cr7 kuwa [emoji2380]? Nitueeeee kwan lol.Ushindwe kuwashwa wewe mfukunyuliwaji niwashwe mie..
Ni aibu kubwa kijana wa kiume kushadadia habari usizo uhakika nazo, Yaani Mtu yyte mnaweza mzushia anafukuliwa tope kisa tu nyie mmeshindwa kulinda Malinda yenu
Je na Wales akishinda ?Iran akidraw anasonga mbele.
Mm ndio nilikuita Mara moja uje uku Kuzibitisha tuhuma za kibenderaa Cha LGBT [emoji23] kurushiwa RonaldoHapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kivipi ?...kwani wanaocheza ni wanasiasa wa Iran na US ?Hii mechi ya Iran vs USA itakiwa mbinde naona mpaka uhasama wa kisiasa wa mataifa haya 2 uta play part.
Leo senegal ana kibarua kigumuNataman sa kumnambil ifike chaaap
Hao Egypt na Algeria wangekuwa bora kama mnavyodai wangefuzu kucheza hii michuano.Bora wangetuwakilisha Egypt na Algeria, na sio cameroon na tunisia, hata huyo ghana hamna kitu, hapo amekutana na kibonde akampiga 2 🤣🤣🤣