Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa, mie nimemchafua wapi huyo cr7? Unawashwaaaa weee. Mxxxieeeeeeew!!!!
Ushindwe kuwashwa wewe mfukunyuliwaji niwashwe mie..

Ni aibu kubwa kijana wa kiume kushadadia habari usizo uhakika nazo, Yaani Mtu yyte mnaweza mzushia anafukuliwa tope kisa tu nyie mmeshindwa kulinda Malinda yenu
 
The Portuguese Federation are going to present evidence to FIFA to prove that the first goal against Uruguay was Cristiano Ronaldo’s NOT Bruno Fernandes’
 
Ushindwe kuwashwa wewe mfukunyuliwaji niwashwe mie..

Ni aibu kubwa kijana wa kiume kushadadia habari usizo uhakika nazo, Yaani Mtu yyte mnaweza mzushia anafukuliwa tope kisa tu nyie mmeshindwa kulinda Malinda yenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mtu mbna umeni andama sanaaa? Mie ndo nloanzisha habari za cr7 kuwa [emoji2380]? Nitueeeee kwan lol.

Km ni picha zile zake na Joe, ni kweli Joe n Basha na yuko wázi hata mahusiano yake na Jeff watu wanajua, mbna wakat bob risky anajishaua kwake na alimtema kuwa yupo ktk mahusiano aka mtagg Jeff,

Sasa kuhusu cr7 kubebwa na kudeka kule kwa Joe, utajaza weyeee km n nyeupe au nyeusi.

Unikomeeeeeeeeeee!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm ndio nilikuita Mara moja uje uku Kuzibitisha tuhuma za kibenderaa Cha LGBT [emoji23] kurushiwa Ronaldo

Lkn nashanga had Sasa upo huku utaki kutoka kbsa tokea asbuhi

Huu Uzi Ni mahuzusi kwa FIFA world cup

Unatakiwa uondoke hapa Mara moja kabla ya saa Tisa tunajambo letu sisi
 
Back
Top Bottom