[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mliniita wenyewee nipo hapa na sitokiiiii.Mm ndio nilikuita Mara moja uje uku Kuzibitisha tuhuma za kibenderaa Cha LGBT [emoji23] kurushiwa Ronaldo
Lkn nashanga had Sasa upo huku utaki kutoka kbsa tokea asbuhi
Huu Uzi Ni mahuzusi kwa FIFA world cup
Unatakiwa uondoke hapa Mara moja kabla ya saa Tisa tunajambo letu sisi
Leo senegal ana kibarua kigum
Mnoooo,wenye pumbu zenu mzibane vizur kwakwel🥴Leo senegal ana kibarua kigumu
Haya mambo sio ya kucheka ila kwa sbb tuna bandama wacha tuchekeMm ndio nilikuita Mara moja uje uku Kuzibitisha tuhuma za kibenderaa Cha LGBT [emoji23] kurushiwa Ronaldo
Lkn nashanga had Sasa upo huku utaki kutoka kbsa tokea asbuhi
Huu Uzi Ni mahuzusi kwa FIFA world cup
Unatakiwa uondoke hapa Mara moja kabla ya saa Tisa tunajambo letu sisi
Haishauriwi kiafyaMnoooo,wenye pumbu zenu mzibane vizur kwakwel🥴
Ukikuta mtu anamchukia Ronaldo kuna mkono wa Mesis hapo na ukikuta mtu anamchukia Messi kuna mkono wa Ronaldo hapo. Mesis na Ronaldo ni kama Mnyama na WananchiJamaa wanamchukia utafikiri kawabebesha mimba, mpira unapigwa ila hawaoni matukio ya kujadili tofauti na kujadili maisha binafsi ya Cr7.
Ndohivyo anazidi kupepea tu.
Kafunga kwa staili hiyo maisha yake yote ya soka na hakuna mchezaji tangu soka lianzishwe anayemsogelea Ronaldo kwa ufungaji wa magoli ya vichwa vya staili hiyo. na zaidi ya yote haitaji kuprove kwako, kama unataka kujiita mbwa jiite tu usimuhusishe RonaldoKama alifunga iyo niite mbwa niko pale mwakaleli mbeya
Sahih Sana sijaona kosa la Ronaldo Wal Messi bas tu mreno wa watu hatakiwi kuwa RonaldoUkikuta mtu anamchukia Ronaldo kuna mkono wa Mesis hapo na ukikuta mtu anamchukia Messi kuna mkono wa Ronaldo hapo. Mesis na Ronaldo ni kama Mnyama na Wananchi
Aisee bwna shemeji kumbee wew Ni wa mwakareli huko ,bas bhna Nina mpenzi wangu anaitwa Ester manase wa hapo hapo kwa kina mwakahesiKama alifunga iyo niite mbwa niko pale mwakaleli mbeya
Kiafrica ndo technique hyo[emoji1787]Haishauriwi kiafya
Ecuador 🇪🇨 vs Senegal 🇸🇳Tbc wataonesha mechi gan leo
Alafu wewe utabana nini?Mnoooo,wenye pumbu zenu mzibane vizur kwakwel[emoji3061]
Kwani wewe mwana au pisi?Aisee bwna shemeji kumbee wew Ni wa mwakareli huko ,bas bhna Nina mpenzi wangu anaitwa Ester manase wa hapo hapo kwa kina mwakahesi
VidoleAlafu wewe utabana nini?
Sawa nimekupataWalioongoza makundi watacheza na wapili kwenye makundi mengine kupata timu 8 zitakazofuzu robo fainali