Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mm ndio nilikuita Mara moja uje uku Kuzibitisha tuhuma za kibenderaa Cha LGBT [emoji23] kurushiwa Ronaldo

Lkn nashanga had Sasa upo huku utaki kutoka kbsa tokea asbuhi

Huu Uzi Ni mahuzusi kwa FIFA world cup

Unatakiwa uondoke hapa Mara moja kabla ya saa Tisa tunajambo letu sisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mliniita wenyewee nipo hapa na sitokiiiii.
 
Mm ndio nilikuita Mara moja uje uku Kuzibitisha tuhuma za kibenderaa Cha LGBT [emoji23] kurushiwa Ronaldo

Lkn nashanga had Sasa upo huku utaki kutoka kbsa tokea asbuhi

Huu Uzi Ni mahuzusi kwa FIFA world cup

Unatakiwa uondoke hapa Mara moja kabla ya saa Tisa tunajambo letu sisi
Haya mambo sio ya kucheka ila kwa sbb tuna bandama wacha tucheke
 
Jamaa wanamchukia utafikiri kawabebesha mimba, mpira unapigwa ila hawaoni matukio ya kujadili tofauti na kujadili maisha binafsi ya Cr7.

Ndohivyo anazidi kupepea tu.
Ukikuta mtu anamchukia Ronaldo kuna mkono wa Mesis hapo na ukikuta mtu anamchukia Messi kuna mkono wa Ronaldo hapo. Mesis na Ronaldo ni kama Mnyama na Wananchi
 
Kama alifunga iyo niite mbwa niko pale mwakaleli mbeya
Kafunga kwa staili hiyo maisha yake yote ya soka na hakuna mchezaji tangu soka lianzishwe anayemsogelea Ronaldo kwa ufungaji wa magoli ya vichwa vya staili hiyo. na zaidi ya yote haitaji kuprove kwako, kama unataka kujiita mbwa jiite tu usimuhusishe Ronaldo
 
Ukikuta mtu anamchukia Ronaldo kuna mkono wa Mesis hapo na ukikuta mtu anamchukia Messi kuna mkono wa Ronaldo hapo. Mesis na Ronaldo ni kama Mnyama na Wananchi
Sahih Sana sijaona kosa la Ronaldo Wal Messi bas tu mreno wa watu hatakiwi kuwa Ronaldo
 
Kama alifunga iyo niite mbwa niko pale mwakaleli mbeya
Aisee bwna shemeji kumbee wew Ni wa mwakareli huko ,bas bhna Nina mpenzi wangu anaitwa Ester manase wa hapo hapo kwa kina mwakahesi
 
Sa 12 sio mbali nimeshaweka keka langu!
Screenshot_20221129-163123.jpg
 
Back
Top Bottom