Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ziko wapi picha za Ronaldo akiwa amebebwa mtoto mzuri
 
Kumekuchaaaa humu ndaniiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wabongo wengi kumbe uelewa wao ni finyiuu mnooo. Nacheka km mazuriiiiii. Lol.
Mtu anadhani mapunga hayazai, anadhani hayana uwezo wa kuwa kwenye kahusiano na wanawake.

Kwa ufinyu huu wa elimu juu ya hili swala mtambuka, jamii inawezaje kupambana nalo?

Nimepitia baadhi ya comment nikajiuliza hivyo.

Anyways tujadilini Kombe la Dunia QATAR.[emoji91]
 
Wale wazee wa kuchukua hela kizembe

Ecuador coners over 4.5, odd 1.86
2nd half with may goals, odds 1.5

Sitaki kuwaza atakeshinda hii game kwasababu natamani team ya Afrika ipite.
 
Hizi kauli za kidada si inakuwaje zinatumiwa na wanaume, yani Mwanaume mzima na pumbu zake eti anadai 'niitwe mbwa nimekaa pale"

Huo msemo hauna tofauti na misemo iliyowahi kuzuka miaka ya nyuma kama, "UTAJIJU", kisha itumiwe na wanaume.

Fvck[emoji51].
 
Hivi huyu Mdau alifariki mwaka Jana siku kama ya leo ?!!!!
RIP Papa Bouba Diop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…