Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sababu za Onana kusimamishwa kwa muda hii hapa:
Kocha alimshauri aache tabia ya kucheza nje ya box yake yeye akakataa
Onana ana touches 61 nje ya box zaidi ya makipa wote wanaoshiriki World Cup 2022
Hata mimi niliona hiyo, Onana alifikia wakati anawanyang'anya mabeki mpira na yeye ndie wa kupasi mbele. Nyakati zingine yeye anakuwa mbelke ya mabeki anacheza mpira hadi katikati ya uwanja na kuacha goli bila ulinzi. Na hii amefanya kwa muda mrefu
Sasa Song ameona huu udhaifu timu zikigundua wanaweza wakawanyeeshea mvua ya magoli
 
Kitakachoipata Senegal leo kitahuzunisha Afrika nzima. Game washaishika ila haya makosa ya kukosa clear chances kama hizi ni kujichimbia kaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…