Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
Washaaga mashindano hao. Matumaini yapelekwe kwa morocco sasa na ghanaKitakachoipata Senegal leo kitahuzunisha Afrika nzima. Game washaishika ila haya makosa ya kukosa clear chances kama hizi ni kujichimbia kaburi.
Mendy hajaukariri wimbo wa taifa ndo maana ameubana hivyo[emoji23]
Onana ni mpuuziSababu za Onana kusimamishwa kwa muda hii hapa:
Kocha alimshauri aache tabia ya kucheza nje ya box yake yeye akakataa
Onana ana touches 61 nje ya box zaidi ya makipa wote wanaoshiriki World Cup 2022
Hata mimi niliona hiyo, Onana alifikia wakati anawanyang'anya mabeki mpira na yeye ndie wa kupasi mbele. Nyakati zingine yeye anakuwa mbelke ya mabeki anacheza mpira hadi katikati ya uwanja na kuacha goli bila ulinzi. Na hii amefanya kwa muda mrefu
Sasa Song ameona huu udhaifu timu zikigundua wanaweza wakawanyeeshea mvua ya magoli
View attachment 2430942
Zinapenda kucheza bila malengo ya mwisho timu zetu. Mwisho wa mchezo magoli tu. Wanacheza vizuri lakini wanashindwa kukamilisha lengo daah.Washaaga mashindano hao. Matumaini yapelekwe kwa morocco sasa na ghana
Daah hawa Senegal hata wakitoka sitakua na malalamiko yoyote, nafasi kama zile zingekuwa upande wa Ecuador wangekuwa wamekaa tayari.
Wewe mechi bado sana unakumbuka kilichompata argentinaSenagaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal
0-1.
Tunapita this time