Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Ivi njia yao ndo yuko England sio?.. Ebu ngj niangalieAnakwenda kupambana na England bila shaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi njia yao ndo yuko England sio?.. Ebu ngj niangalieAnakwenda kupambana na England bila shaka
Ata mimi sijaucheki nilikuwa busy kwenye ishu ya YangaSec ngapi imebaki nimeshinda kutazamaa
Itafika Hakuna mwenye mpira sas HV lzm Senegal itimbe ¹4Kwa mpira huu senegal haitofika robo fainal
Ndo utakuwa mwisho wa senegalAnakwenda kupambana na England bila shaka
Timu za Africa zina tatizo la kutojiamini.Senegal wameshinda ila kwa staili hii ya mpira hawafiki mbali
Unaiona England bonge la timu hapo?Ndo utakuwa mwisho wa senegal
Acha 'undina' wewe...Wewe maku jiheshimu, nusu fainali labda ya ndondo cup.
Makuu wew tu acha makasiriikoo ulisha sema senega hapita sas kapita embu niondokee pimbi wewWewe maku jiheshimu, nusu fainali labda ya ndondo cup.
Uingereza wanafungikaNdo utakuwa mwisho wa senegal
Wale kina cocastic wanapigika sna tuNdo utakuwa mwisho wa senegal
Zinaimarika, kasoro Cameroon ndiyo bado wapo miaka ya tisini.Aaah Senegali wamenipa confidence ya kuzidi kuziamini timu za Africa
Kwa Senegal nimeona upande huo kama England ataongoza leo watakutana.. Hlf ikatokea Senegal kapita bas robo final atakutana na France.Mwenye route to Final aitume
Kaka kwa fikra yako unazani waingereza wanaweza kufungwa na senegalUnaiona England bonge la timu hapo?