SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 968
- 1,022
Ghana ndo timu pekee nayoiamini mpka sasa tusimamie hapoGhana njia nyeupe maana Uruguay kapigwa jana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghana ndo timu pekee nayoiamini mpka sasa tusimamie hapoGhana njia nyeupe maana Uruguay kapigwa jana.
England hawana Soka la kutisha Sana Kama frace na ESPNHcho ndo nachohofia wanakosa sana clear chances wanapata lkn wanakosa.. Hatua za mtoano hkn game nyngne umepigwa umetoka.
Senegal akiwa Serious kwny nafas zake wanazopata wakikutana na England wanaweza mpa wkt mgum.
Cameroon mkuu nishawawekea oda ya kuwateka. Nawaleta huku kunilimia. Wana miili mizuri sana kwa kazi za kitumwa wale mbwa.Zinaimarika, kasoro Cameroon ndiyo bado wapo miaka ya tisini.
Nilishangilia sn hili goli, Aendelee kupumzika kwa amaniView attachment 2431014
Ni huyu ndio alifunga Goli la Kwanza la Senegal kwenye World Cup; Na alikufa siku kama ya leo mwaka jana What a Way to Remember Him
View attachment 2431015
RIP Papa Bouba Diop hio siku ulinifanya nijivunie kuwa Mtanzania
France 0 - Senegal 1
Naona kocha anajikaza kuwapa moyo wachezaji ila nayeye ataenda kulia walai!!Ecuador analia hatari....
Do you mean kuwa MuAfrikaView attachment 2431014
Ni huyu ndio alifunga Goli la Kwanza la Senegal kwenye World Cup; Na alikufa siku kama ya leo mwaka jana What a Way to Remember Him
View attachment 2431015
RIP Papa Bouba Diop hio siku ulinifanya nijivunie kuwa Mtanzania
France 0 - Senegal 1
Apo lolote laweza kutokea mkuu anaweza kupigwa tuObvious anafuzu
Hajafuzu ila ili atoke inabidi Wales ashinde kwa utofauti wa goli 3 ama zaidi, kama 3-0, 4-1, 5-2 etc. Akishinda chini ya hapo Uingereza kapita.Kwani England yeye keshafuzu??
Video ya goal hii hpaView attachment 2431014
Ni huyu ndio alifunga Goli la Kwanza la Senegal kwenye World Cup; Na alikufa siku kama ya leo mwaka jana What a Way to Remember Him
View attachment 2431015
RIP Papa Bouba Diop hio siku ulinifanya nijivunie kuwa Mtanzania
France 0 - Senegal 1
Hujanipa update yeyote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NakufaApo lolote laweza kutokea mkuu anaweza kupigwa tu
Etoo si ndo alitabiri hili kombe litakuja Africa?Mwaka Africa tuna jambo letu.
Pole jikaze kiume nimebana mno pumbuMm nimeshindwa kumalizia mana presha ipo juu
Hakikaa .. especially kwaile mechi ya kwanza uwiiiiii!!! Hurrrrrrrrayyyyyy Senegal 💃💃💃💃🤸Senegal alidharaulika sana humu
Kabla ya mechi...kafanya maajabu
Video ya goal hii hpa
Hazijapasuka kweli [emoji28]Pole jikaze kiume nimebana mno pumbu
Dakar leo hakulaliki hukoHakikaa .. especially kwaile mechi ya kwanza uwiiiiii!!! Hurrrrrrrrayyyyyy Senegal [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732]