Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Boss wa Nani wapi ?

Walimfunga Mfaransa ambae ndio kama aliwalea na karibia wote kina Al Hadj Diof walipitia kwenye academy za Ufaransa...., Anyway inategemea wakicheza kwa kujiamini England hatishi ila wakiingia kwa kupaki basi, mechi ijayo waende na mabegi yao wameshapaki...
Kwenye mpira lolote linawezekana, km wakiamua wanaweza
 
Leo timu yangu England inaingia dimbani na ndugu zetu Wales.

Tuwe pamoja mpaka tamati.
 
Back
Top Bottom